
Ramani ya Python

Python
Miongozo

1
Somo la 1
Utangulizi wa Python
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kufanya mazungumuzo na compyuta kupitiya Python.
Pia utaelewa maana ya mambo yafuatayo:
Python ni nini?
Variable ni nini?
Variable ni kama Box ambayo inahifadhi hela, ikiwa ndani ya box kuko dola 50 value ya hiyo box ni dola 50 --> Mfano (Box = $50)
Njia Tofauti za kuadiaka Varibles mu Python!
Msingi wa Python:
Code

Tumia Uliyojifunza

2
Somo ya 2
Data Types
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeneza Lists mbali-mbali kwa kutumia Python.
Pia utaelewa maana ya mambo yafuatayo:
Lists
Kwa mfano ikiwa uko na jenga Login page ya variableX.com utahitaji kutumiya Lists function ili uweze kuhifadhi majina na information ya kila mutu.
Tuple
Labda ugependa kuhifadhi information fulani yenye haupendi mutu yeyote habadilishe > wakati huo utatumiya Tuple.
Mfano: < Tuple >
Code

Si kila mtu ambaye ni mpenzi wa kusoma. Ndiyo sababu nimetengeneza Labs!
Video

3
Somo ya 3
Operators
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utaweza kutumiya Hesabu ndani ya Python.
Pia utaelewa maana ya mambo yafuatayo:
Arithmetic Operators
Code

Si kila mtu ambaye ni mpenzi wa kusoma. Ndiyo sababu nimetengeneza Labs!
Video
Tumia Uliyojifunza

4
Somo ya 4
User Interactions
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeza user interfave kwa kutumia Python.
Pia utaelewa maana ya mambo yafuatayo:
User interactions:
Pindi fulani unapotengeza programu ya Kompyuta utahitaji njia ambayo mtu mwengine anaweza kuandika value ndani ya Programu yako.
Kwa mfano tuna project au mradi wa kujenga Game, hatuwezi tu kuwapa ma user game wacheza
vipi ikiwa yule mtu atahitaji kutiya jina, email, password na mambo megine Itabidi tututengeneza namna wataweza kutiya hizo information.
Ni hapo ndipo utahitaji kutumia "User interface".
Function ya inasaaidiya sana.:
Code

Video
Tumia Uliyojifunza

Mfano wa Ninachokitafuta

5
Somo ya 5
If-Else Statements, While, and For Loops
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeneza ukurasa wako binafsi unaohusisha
If-Else statemnet, While, and For Loops. Utajifunza haya yote kwa kutumia lugha ya Kompyuta Python.
Yafuatayo ni mambo utakayojifunza:
Loops na If-Else Statement
Code

6
Somo ya 6
Picha
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kushugulika na makosa ya Programu Yako kwa kutumia lugha ya Kompyuta Python.
Yafuatayo ni mambo utakayojifunza:
Try na Except
Code

7
Somo ya 7
Functions
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeneza
Functions. Utajifunza haya yote kwa kutumia lugha ya Kompyuta Python.
Yafuatayo ni mambo utakayojifunza:
Creating a Function
Code

8
Somo ya 8
Class Na Objects
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeneza class na Object yako binafsi. Utajifunza haya yote kwa kutumia lugha ya Kompyuta Python. Yafuatayo ni mambo utakayojifunza:
kutengeneza Class na Object
Code

9
Somo ya 9
Request Library
Lengo la Somo hili
Baada ya somo hili utakuwa na uwezo wa kutengeneza Functions za website yako. Utajifunza haya yote kwa kutumia lugha ya Kompyuta Python. Yafuatayo ni mambo utakayojifunza:
Code
